歌詞
[Verse 1]
I'm in a good feeling
Give me a call everybody get ready
I'm on my way
[Verse 2]
Ninafanyaga vitendo maneno siongei
Let them say si tunatafuta pay
Taratibu ndo mwendo na muda hatuchezei
Hatuchezei kazi ni kazi don't play, don't play
[Verse 3]
Kutoka kwa ukungu hadi kutakata
Kushukuru kwa Mungu ukila baraka
Salamu kwa mandugu hakuna matata
Kula bata kula kuku na kile unataka
[Verse 4]
Kwani nisiwe happy? Wamekufa wangapi?
Na nani atabaki I don't see
Juu chini katikati nimetokea wapi
Nobody can stop me you know me
[PreChorus]
Me I never go back naenda mbele kwa mbele
I live my life till the end
Na hakuna atayebaki hapa milele
I live my life till the end
[PreChorus]
I go hussle I go hard
I gon get my money
Hata nikikosa sijali
Kufika hapa nimepitia mengi njiani
Nilipotoka ni mbali
[Chorus]
Me I never go back naenda mbele kwa mbele
I live my life till the end
Na hakuna atabaki hapa milele
I live my life till the end
[Verse 5]
Haters wanahate my life
Baba God anabless my life
Somebody wanna take my life
Kaa mbali wewe this is my life
[Verse 6]
Ukinitaka kunipenda au unichukie
Ukitaka tupa taka au ufagie
Ukitaka kunibeep au unipigie
Au uzibe masikio hata usinisikie
[Verse 7]
Kujua wanavyoanza kipindi
Nazichanga kuziba njia wanga
Kushuka kupanda kuwaza kuwanda
I'm a survivor wazee husemanga
Maisha ndo haya haya
[Verse 8]
Kwani nisiwe happy? Wamekufa wangapi?
Na nani atabaki I don't see
Juu chini katikati nimetokea wapi
Nobody can stop me you know me
[PreChorus]
Me I never go back naenda mbele kwa mbele
I live my life till the end
Na hakuna atayebaki hapa milele
I live my life till the end
[PreChorus]
I go hussle I go hard
I gon get my money
Hata nikikosa sijali
Kufika hapa nimepitia mengi njiani
Nilipotoka ni mbali
[Chorus]
Me I never go back naenda mbele kwa mbele
I live my life till the end
Na hakuna atabaki hapa milele
I live my life till the end
[Verse 9]
Nilifundishwa kazi sikukuwa kimwinyi
Sikuwa mwoga songa kwa mini
Nitaimba na wa kuimba na mimi
Nimlaumu Mungu kaninyima nini?
[Outro]
I go hussle I go hard
And I go get my money
Hata nikikosa sijali
Kufika hapa nimepitia mengi njiani
Nilipotoka ni mbali