歌詞

Nahreel] Wapenda mambo ya pwani limbwata utanasa! Vurugu mfano wa tsunami kigoli matata, Nalamba mpaka jokeri mchezo wa karata. Utamu mpaka usogoni yaani swadakta!! Nisogelee usiogope nisogelee Nisogelee usiogope nisogelee Kibingwa nasanua Dera, Najimwaga juu ya machela, Mjanja anamega kisela Wajinga wana chunwa hela. Ohh lah mpela, ohh lah mpela Kitoto wee, (kitoto wee) Kitoto wee, (kitoto wee) Ohh lah mpela, ohh lah mpela Kitoto wee, (kitoto wee) Kitoto wee, (kitoto wee) Mini mi nimoo, Kasoro rojoro Maning'e ni mono, Kasoro rojoro Mini mi nimoo, Manong'oo ohh Minong'ono ohh, Mbegu ya sotojo. Baby jst come over we gon make another Even if u sober lets get on de sofa Baby jst come over we gon make another Even if u sober lets get on de sofa Nisogelee usiogope nisogelee Nisogelee usiogope nisogelee Nisogelee usiogope nisogelee Nisogelee usiogope nisogelee Released date; 5 March, 2021
Writer(s): Aika Calvin Marealle, Emmanuel Mkono, Francis Jacob Matuja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out