歌詞

Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Eeh baba, Simama, simama tumsifu Bwana Eeh mama, Simama, simama tumsifu Bwana Kijana simama, simama tumsifu Bwana Watu wote simama, simama tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama aah tumsifu Bwana Ndugu yangu simama, simama aah tumsifu Bwana Uliyeketi simama, simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Nasema nawe uliyemata tamaa Unaona kila kitu huwezi Kila jambo jema unalofikiri Mbona anawapa wengine Kama Bwana aweza kutumia kila kitu Mwambie akutumie leo Mpe moyo na maisha yako Yote na wala si nusu Akutumie vile apendavyo Mwambie nitumie Bwana Leo hii na wala sii kesho Leo hii leo hii Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Tukimuita atatuitika Tukimkaribia atatukaribia Tukiinua mikono yetu naye atatuinua juu Tukimpa mioyo yetu ataponya nchi yetu Njooni tulisifu jina lake Bwana Enyi watakatifu wa Mungu Maana kusifu kunawapasa Wanyoofu wa moyo Tumsifu Bwana sifu Bwana tumsifu Bwana (Tumsifu Bwana) Tumsifu Bwana sifu Bwana tumsifu Bwana (Tumsifu Bwana) Kwa makofi kwa nderemo na vifijo (Tumsifu Bwana) Kwa matone kwa vinubi na vinanda (Tumsifu Bwana) Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Katika sifa magonjwa yanapona simama simama aah (Tumsifu Bwana) Katika sifa mapepo yatoroka simama simama aah (Tumsifu Bwana) Katika sifa utukufu unashuka simama simama aah (Tumsifu Bwana) Usipo sifu hata mawe yatasifu simama simama aah (Tumsifu Bwana) Usipo sifu hata milima itasifu simama simama aah (Tumsifu Bwana) Ukinyamaza sisimizi watasifu simama simama aah (Tumsifu Bwana) Ukinyamaza hata mito itaimba simama simama aah (Tumsifu Bwana) Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana Simama, simama simama aah tumsifu Bwana
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out