歌詞

Menya usile na maganda oyeee Raha utamu kunoga Oyeeee Kwa mwendo wa kinyonga Ta ta ta Taratibu ukijilambaa eeee eeee Eeeeeee Maana Ni Sweet sweet Sweet sweet Love Wataka muda gani Ni tayari muda wote Nambie basi fundi wangu muda wote Namana kula kabisa eeeh baby baby baby ooooh Maana Ni tamu Kama Avocado Hujawahi kuonja ladha yake baby kula wee Avocado Mung'unya na ulambe kabisa baby chukuwa Kama Avocado Tayari Kuna chumvi baby onja tu utamu awe Avocado Hauto kinai baby oooh Maana Ni tamu Kama Avocado Fanya Kama una Ni beep Utapata majibu Yani hata nione picha tu Wanipandisha sitimu Usiwe na haraka eeeh Hebu Tuliza papara eeh Tena usiwe na pupa eeh Kama mbuzi wa kafara aeeeeh Maana Ni Sweet sweet Sweet sweet Love Wataka muda gani Ni tayari muda wote Nambie basi fundi wangu muda wotee Namana kula kabisa baby baby baby ooooh Maana Ni tamu Kama Avocado Hujawahi kuonja ladha yake baby kula wee Avocado Mung'unya na ulambe kabisa baby chukuwa Kama Avocado Tayari Kuna chumvi baby onja tu utamu wake Avocado Hauto kinai baby oooh Maana Ni Sweet sweet Sweet sweet Love Wataka muda gani Ni tayari muda wote Nambie basi fundi wangu muda wotee Namana kula kabisa eeeh baby baby baby ooooh Maana Ni tamu Kama Avocado Hujawahi kuonja ladha yake baby kula wee Avocado Mung'unya na ulambe kabisa baby chukuwa Kama Avocado Tayari Kuna chumvi baby onja tu utamu wake Kama Avocado Hauto kinai baby oooh Maana Ni tamu Kama Avocado Hujawahi kuonja ladha yake baby kula wee Avocado Mung'unya na ulambe kabisa baby chukuwa Kama avocado Tayari Kuna chumvi baby onja tu utamu wake Kama avocado Hauto kinai baby oooh Kama avocado
Writer(s): Enock Mlolwa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out