歌詞

Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini Wanawake tunaweza eeh (Tunaweza) Tudhaminiwe tunaweza eeh (Tunaweza) Kuongoza tunaweza eeh (Tunaweza) Kulea tunaweza eeh (Tunaweza) Wanawake (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake (Tunaweza) tunaweza sana Mwanamke jasiri (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake jeshi kubwa (Tunaweza) tunaweza sana Mwanamke napenda ujitambue Wewe ni mtu wa dhamani Popote ulipo jiamini unatosha Yesu alitumika na wana wake Mitume alikuwa na wanawake Mwanamke popote ulipo unatosha Nyumba bila mwanamke haifai Huduma bila mwanamke haiendi Dunia bila mwanamke si mahali salama Mwanamke mahali popote ulipo, jiamini oh oh oh Wanawake tunaweza eeh (Tunaweza) Tudhaminiwe tunaweza eeh (Tunaweza) Kuongoza tunaweza eeh (Tunaweza) Kulea tunaweza eeh (Tunaweza) Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake jeshi kubwa, jeshi kubwa, jeshi kubwa Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza Wanawake tunaweza, tunaweza, tunaweza Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini Mwanamke jiamini, jiamini, jiamini Wanawake tunaweza eeh (Tunaweza) Tudhaminiwe tunaweza eeh (Tunaweza) Kuongoza tunaweza eeh (Tunaweza) Kulea tunaweza eeh (Tunaweza) Wanawake (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake (Tunaweza) tunaweza sana Mwanamke jasiri (Tunaweza) ooh, tunaweza Wanawake jeshi kubwa (Tunaweza) tunaweza sana
Writer(s): Christina Shusho Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out