音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Diamond
Diamond
演出者
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
聲樂
詞曲
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
詞曲創作
RR
RR
詞曲創作
製作與工程團隊
Bob Manecky
Bob Manecky
製作人

歌詞

[Verse 1]
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

[Verse 2]
Sikujua mapenzi balaa tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava
[Bridge]
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua
Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua
Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa
Mmmh! Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana)
[Chorus]
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
[Refrain]
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
[Verse 3]
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu
[Verse 4]
Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa
Kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo wangu
[Chorus]
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
[Refrain]
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
'Kumbukia, ubongo unapata mawazo
[Outro]
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua
Licha ya burudani namapenzi yangu akatimua
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijuaa
Mmh! Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah
Written by: Diamond Platnumz
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...