歌詞

Lala lala-lala (Vannyboy) Lala lala-lala (S2keeyz baby) Nawaza usingetokea ningeongea nini leo Bila ya penzi lako 'nge-enjoy nini leo Imekuwa bora alivyopotea ukatokea wewe leo Tena bila huruma yako ningetamba wapi leo Kwenye baridi nikukumbate upate joto Twende kwa bibi atupe baraka tuzae watoto Eh ye ye, ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop Vanessa wa nini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock-block Iyee Lala lala-lala (lala kifuani) Lala lala-lala (kichuna ng'ang'a usinzie) Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie) Lala lala-lala (la la la) Nikimwita sukari ananiita asali, lamba lamba, pipi Kuku mwenye kidari shepu ngangari ya kuvunja kiti Kanifunika, mbawa za upendo wake hunibeba kwenda juu Wakimponda sawa, hawajui ndio nazidi kumpenda Usiku kwenye kimvua-mvua tukivua-vua zima taa jilaze kwenye kifua Unanijua-jua nnakujua-jua massage ya mafuta nikikuchua Ngozi laini mtoto sop-sop, tumbo la kuvalia croptop Fayma wa nini we don't talk talk, sitaki shobo nishablock-block hee Lala lala-lala (lala kifuani) Lala lala-lala (kichuna lala usinzie) Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie) Lala lala-lala (la la la) Lala lala-lala (lala kifuani) Lala lala-lala (kichuna lala usinzie) Lala lala-lala (nibembeleze nikuimbie) Lala lala-lala (la la la) Mhh, la la la (Wasafi)
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Raymond Shaban Mwakyusa, Juma Mussa Mkambala Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out