音樂影片

Mbosso - Nadekezwa (Official Music Video)
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

收錄於

積分

出演艺人
Mbosso
Mbosso
演唱
作曲和作词
Mbosso
Mbosso
词曲作者
制作和工程
Abbydad
Abbydad
制作人
Lizer Classic
Lizer Classic
制作人

歌詞

Hohohoo hohoo hoho Hohohoo hohoo hoho Hohohoo hohoo hoho Hohohoo hohoo hoho Salamu ulizo nitumia ah Zimenifikia ah Nipo salama hata usijali Nalishwa vitamu Vinono najilia ah Biliyani yangamia Penzi twadalikana poo kidali Nimekusahau Nakumbuka tu lako jina Kidogo angalu Umengoa mizizi sio kukatashina Penzi wakapanda dau ah Mjini baba pesa fitina Mimi ukanidharau Visenti haba mfuko umechina Nando uwezo wangu ulipo ishia Ningekupa nini tena Kula yangu yakupapasia (Hukumeza ukaatema) Mimi sina gali Ningekupa nini tena (ooohoohoo) (Hukumeza ukaatema) Eeeheeehee Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... Nadeke... Ndanimashamu shama mtoto kanikabiri ooh Hadi na come come kuminambili arufajiri Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi Kanijaza kanichota kanishika pabayaa Nakutadharisha simu zausiku punguza Unahatarisha penzi langu moto kuunguza Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina Kidogo angaluu Umengoa mizizi sio kukatashina Penzi wakapanda dau anh Mjini baba pesa fitina Mimi ukanidharau Visenti haba mfuko umechina Nando uwezo wangu ulipo ishia Ningekupa nini tena Kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema} Mimi sina gali Ningekupa nini tena (ooohoohoo) {Hukumweza ukaatema}eeeheeehee Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... Nadeke... Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... nadekezwa Nadeke... Nadeke...
Writer(s): Sheila Shorongo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out