音樂影片

Christian Bella & Alikiba | CHAKU (Official Music Video)
觀看 {artistName} 的 {trackName} 音樂影片

積分

出演艺人
Alikiba
Alikiba
表演者
Christian Bella
Christian Bella
表演者
作曲和作词
Alikiba
Alikiba
词曲作者
Christian Bella
Christian Bella
词曲作者

歌詞

Aaaaaaaaah Aaaahaaa Oooohhh Kukule lome Mwana nyawe lome Chakula kalele Mwana bitoto Kukule lome (kukule) Mwana nyawe lome Chakula kalele Mwana bitoto Chakuchaku mama (Oooh ooh) Chakuchaku beiby (Oooh ooh) Chakuchaku mama (Oooh ooh) Chakuchaku sweety nakupenda sana Chaku unogire mwana Umeridhi uzuri wa mama Hilo jicho ukinitazama Chaku wewe Hata sina mako na udana Kwako nimetulizana Umepata bonge la bwana Chaku wewe Hasa posa naleta Kuruka mabreka Kizungu unacheda Mpaka udeka Hasa posa analeta Kuruka mabreka Kizungu unacheda Mpaka udeka Kukule lome Mwana nyawe lome Chakula kalele Mwana bitoto Kukule lome Mwana nyawe lome Chakula kalele Mwana bitoto Una uzuri wa sura tabia Hata mama akakusifia Aah kuwa na wewe Shaku wewe Na moyo ukigoda kalia Utakacho nitakupatia Aaah wewe ndo my queen Wa dunia Na nimezama mazima Nyebe kauli sina Isikutishe jina, ujanja sina Ni kweli ujanja sina Mimi ni kwako koro(Koro) Binadamu hakosi kasoro(Kasoro) Isikutishe jina, ujanja sina Ukweli ujanja sina My cherie Oyebi na linga kayo Kajaa ntima Ozawa ngavali bella My cherie oooh Oyebi na linga kayo Na mutema Ozawa ngavali bella Hasa posa naleta Kuruka mabreka Kizungu unacheda Mpaka udeka Hasa posa analeta Kuruka mabreka Kizungu unacheda Mpaka udeka Kukule lome Mwana nyawe lome Chakula kalele Mwana bitoto Kukule lome Mwana nyawe lome Chakula kalele Mwana bitoto Ale Seteke jitoto ancheza anjikuna Ona John chiba[?] ancheza anajikuna Sasa na wewe jikune Jikune jikune... Sukuma, sukuma Sukuma sukuma sukuma.
Writer(s): Ali Saleh Kiba, Christian Bella Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out