歌詞

It's your favorite boy kashkeed on the track Ukitaka cha mvunguni shrati uiname Ngoma ni kali sharti ainame Guruma zogo we ni kwame Lewa tuliza idhi kanye Nina taki ya nani Takitaki ya kuteka kina nani Taki ya kuchezeshwa na majirani Takitaki yaani taki ya ganji Taki si funny Staki staki nyama ka si mbuzi Venye nimeshona natumia Lil uzi Calories kidunia Wanaclaim wako sick that's why Najivunia hii deal Beat ikidrop inabeat hadi fear Ka unadai feature ama picha lipia Just kidding thou nishamada kunyesha Nimekill hii flow Nimekill ego mwana WA ingo Niko na rende hakuna venye nitaka single Chunga hoes bro wengi wanakaa shimo Ukishachimba wanakutoka tu ki jelly moo Ukitaka cha mvunguni sharti uiname Ngoma ni Kali sharti ainame Guruma zogo we ni kwame Lewa tuliza idhi kanye Nina taki ya nani Takitaki ya kuteka kina nani Taki ya kuchezeshwa na majirani Takitaki yaani taki ya ganji Taki si funny Sikopi tenaa weka signal, uuuwiii signal Weee wekaa signal ayayaya Niko na taki ya kimama kinono kiko na harrier Harrier yake na kerea zikona makerea Sheria ni ati nitooke nikitaka any Anyway tuko maarea area tuko mahenny aah Ma aah ni za nini nani ni makasiriko Ka unataka mamii kuja mahali niko Key kwa kikoro alafu tuanze makick offs Kidogo kondiko kwa gothora ya mmmhmm Ukitaka cha mvunguni sharti uiname Ngoma ni Kali sharti ainame Guruma zogo we ni kwame Lewa tuliza idhi kanye Nina taki ya nani Takitaki ya kuteka kina nani Taki ya kuchezeshwa na majirani Takitaki yaani taki ya ganji Taki si funny Kazi kwa daily mi hukuanga na doo Ka msupa ni keki mi humwita sinor monalisa Roho ishajipa nikimlisha mboko of course Ye huwika, eeei Mbuzi ndo rende Rende rende kuchana Mziki ni genje naimeshinda ya jana Mfuko imeshona mtu tatu ni chama Si tumekuja na njama Mita moja alama Kazi kuganga hapa kazi kuroga Zangu zimenata nina ego imeshona Shika huyo dada na ukikosa nabonya Ati mbuzi ndo rende Rende rende ogopaa Ukitaka cha mvunguni sharti uiname Ngoma ni kali acha ainame Guruma zogo we ni kwame Lewa tuliza idhi kanye Nina taki ya nani Takitaki ya kuteka kina nani Taki ya kuchezeshwa na majirani Takitaki yaani taki ya ganji Taki si funny
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya, Harry Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out