歌詞

We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli ntaumia Si unajua kwako Sijiwezi me siwezi ntalia Baby nakupenda ndio Sikliza moyo wangu unavyokwenda mbio (yaani kasi) Usinipe wasiwasi nighaasi Ila ukinitenda sio Nakutaka wewe tu baby boo haya Nidanganye tuu uwe true lier Ila ni vibaya ukinitupa kwenye fire Nipige kama kinanda na me niimbe kama kwaya Kitaa kuna tetesi eti machizi kibao wanakuona mwepesi Sihitaji ukweli baby please Sitanuna hata nikikufuma na KGT Niambie kaka yako tu basi Love inanipa stimu kama nyasi Japo nipo fit kama nyati Kwako sitaki vita nipo peace mpaka basi We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli nitaumia Hata nikikukuta chumbani mtupu umekombatiwa We nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli nitaumia Si unajua kwako sijiwezi me siwezi nitalia Hekima na busara zishakumba fikra zangu Hisia zikitawala sifichi kama utupu wangu Uje unikombate upokee zawadi zangu Kiss sio lazima danganya mashavu yangu eeh Ukweli unauma nanikijua moyo utauma Fanya siri kama unaiba mali ya umma Na nikistuka nidanganye danganye tu kiaina Kwako nimefeli 'F me mpofu Nimezama na hiki kina kirefu Nimetokea Tanga na mahaba usinichukie Nataka nikusifu mamushika nijickie Naomba unidanganye hata wanangu waniaminie Kama unanimis njoo maskani uniulizie Japo wajanja wanapanda tu dau Kukubali sio mbaya ila usinisahau Niigizie angalau ingawa Nyuma ya pazia madharauu Niigizie angalau Ingawa nyuma ya pazia madharauu We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli nitaumia Hata nikikukuta chumbani utupu umekombatiwa We bora nidanganye danganye danganye tuu Ukinambia ukweli nitaumia Si unajua kwako sijiwezi me nitalia... Ukweli unauma na nikijua moyo utauma Baby nakupenda ndio sikiliza moyo wangu unavyo kwaenda mbio Ukweli unauma naniijua moyo utauma Nakupenda ndio hebu sikiliza moyo wangu unavyokewnda mbio Ukweli unauma na nikijua moyo utauma Nakupenda ndio Hey it you boy the president Shetta shesheshe ... Shetta Shetta shesheshe ... Shetta KGT Shetta shetta (Moyo unauma) Nakupenda ndio sikiliza moyo wangu unavyo kwenda mbio Ukweli unauma na nikijua moyo utauma Nakupenda ndio sikiliza moyo wangu uanvyo kwenda mbio (Inatosha)
Writer(s): Nurdin Ally Bilali Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out