積分

演出藝人
Size 8
Size 8
演出者
詞曲
Size 8
Size 8
詞曲創作

歌詞

[Chorus]
Nazidi kuwapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Nazidi kuwapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Nazidi kuwapa vidonge wameze wateme ni shauri yao
Nazidi kuwapa vidonge wameze wateme ee
[Verse 1]
Niliwaambia hawatanifikia
Wacheni fitina, huu mchezo haujanishinda
Speedy mia-mia (I'm pressing on)
Na bado wanabambika (I'm surfing on)
Wana-hate, wana-hate, kila step na-move ahead
Wana-hate, wana-hate, mi nawapa vidonge
[Chorus]
Nazidi kuwapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Nazidi kuwapa vidonge (Ninawapa vidonge)
Nazidi kuwapa vidonge wameze wateme ni shauri yao
Nazidi kuwapa vidonge wameze wateme ee
[Verse 2]
Huwezi simamisha mvua (No huwezii)
Maneno hayazibi njia (Hayawezii)
Mola ashanipa uzuri pia wa ndani
To like what you see-see
Wana-hate, wana-hate, kila step na-move ahead
Wana-hate, wana-hate, mi nawapa vidonge
[Chorus]
Nazidi kuwapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Nazidi kuwapa vidonge (Ninawapa vidonge)
Nazidi kuwapa vidonge wameze wateme ni shauri yao
Nazidi kuwapa vidonge wameze wateme ee
[Chorus]
Mi nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Nairobi nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Mombasa nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Kisumu nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Eldoret nawapa vidonge ee, ee
[Chorus]
Nairobi nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Mombasa nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Kisumu nawapa vidonge (Mi nawapa vidonge)
Eldoret nawapa vidonge ee, ee, ee
[Outro]
Nairobi nawapa vidonge
Mombasa nawapa vidonge
Kisumu nawapa vidonge
Eldoret nawapa vidonge ee, ee, ee
Written by: Size 8
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...