積分

演出藝人
Jay Melody
Jay Melody
演出者
詞曲
Arrington Felix George
Arrington Felix George
作曲
Sharif Saidi Juma
Sharif Saidi Juma
作曲
製作與工程團隊
Jinix66
Jinix66
製作人

歌詞

[Verse 1]
Eti unataka nn? eeh
Ivo unaambiwa mimi, eeh!
Kimata kama jini, eeh!
Yaani moto auzimi, weeh!
[Verse 2]
Uku nyuma nlipata varangati!
Ni mateke kama sensia
Siku izi napikiwa karimati!
Ex zako kuumia, ee
[Chorus]
Halaafu! halaafu!
Ananipaga nyama yaani ndafu!
Halaafu! halaafu!
Inakuwaga chips kavukavu
Halaafu! halaafu!
Halaafu! halaafu!
Halaafu! halaafu!
Anakuwaga bata yaan chafu (Bataa)
[Bridge]
Ooh!
Ooh! lalalaa!
[Verse 3]
Kitu kama unampenda
Tatutamani utatoka denda, wee!
Kwenda kama unakwenda
Nikupa moyo wee ukautenda
[PreChorus]
Lii! lalila lilaah!
Uh lulu talila lila!
Nasema lii! lalila lilaah!
Uh lulu talila lila!
(Nimekuacha) talila lila!
(Na sikupendi) lalilalila!
(Na umebaki) lalilalila!
Uh lulu talila lila!
[Chorus]
Halaafu! halaafu!
Ananipaga nyama yaani ndafu!
Halaafu! halaafu!
Inakuwaga chips kavukavu
Halaafu! halaafu!
Halaafu! halaafu!
Halaafu! halaafu!
Anakuwaga bata yaan chafu (Bataa)
Written by: Arrington Felix George, Sharif Saidi Juma
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...