積分

演出藝人
Alice Kimanzi
Alice Kimanzi
演出者
詞曲
Alice Kimanzi
Alice Kimanzi
詞曲創作
Gideon Maingi Kimanzi
Gideon Maingi Kimanzi
詞曲創作

歌詞

[Intro]
Waambie mbie
[Verse 1]
Usingizi kanitoroka, Moyoni nimekesha ngoma
Kwa subira nimengoja, penzi hili la thamana
Tangu tulipokutana, nafsi zetu kapatana
Na ni mbali tumetoka tangu kuchumbiana
Siku yetu imefika hakuna atayezuia
Ajaliye Maulana, pete tutavishana
[Chorus]
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa mapenzi shanienzi
Waambi mbie
Milele nishazama sinitafute kule kwa mabinti nishahama
[Bridge]
Angalia ishara
Tazama ishara
Angalia ishara
Mi nishahama
Angalia ishara
Tazama ishara
Angalia ishara
Mi nishazama
[Verse 2]
Kuna wale wanasema ndoa haidumu tena
Yaje maji na mafuriko tayari tushatiya nanga
Nimepata yule wangu kampenda na vyote vyangu
Sitaja sahau amenivisha dhahabu
Nimepata yule wangu kampenda na vyote vyangu
Simulie walimwengu nishampaa moyo wangu
[Chorus]
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa mapenzi shanienzi
Waambie mbie
Milele nishazama sinitafute kule kwa mabinti nishahama
[Bridge]
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishaa
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishazama
[Bridge]
Ee Mola tusaidie kwa wema wako
Tuwe na ndoa yenye furaha
Milele hadi milele
[Chorus]
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa mapenzi shanienzi
Waambie mbie
Milele nishazama
Sinitafute kule, kwa mabinti nishama
Waambie mbie
Nimeshapatikana na yule mume
Wa mapenzi shanienzi
Waambie mbie
Milele nishazama
Sinitafute kule, kwa mabinti nishama
[Bridge]
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishaamaa
Angalia ishara tazama ishara
Angalia ishara mi nishazama
[Outro]
Ona angalia (Angalia)
Baba ona tazama (Angalia)
Baba ona angalia (Angalia)
Mimi nisha, mimi nishahaama
Mwenye macho haambiwi (Angalia)
Lakini nakuomba tazama (Angalia)
Waambie mi nishazama
Waambie mbie
Written by: Alice Kimanzi, Gideon Maingi Kimanzi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...