歌詞
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling, je t'aime
Kutoka tulipokutana, sijawai kufikiria tutaachana
Lakini, tulipopendana hueleweki unaniumiza sana, eh-eh
Upendo gani na sikuoni baby?
Upendo gani hupatikani darling?
Upendo gani huniamini baby?
Upendo gani na sikuoni baby?
Upendo gani hupatikani darling?
Upendo gani huniamini baby?
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
(Sina valu valu baby) naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
Wasikudanganye ati sina uwezo
Ninao, na sio mchezo
Mbona kunipa mawazo?
Amua, amua, amua
Wasikudanganye ati sina uwezo
Ninao, na sio mchezo
(Mbona kunipa mawazo?
Amua, amua, amua)
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
Sina valu valu baby, naomba mi na wewe tuwe
Achana valu valu darling
Thank you
Written by: Dr Jose Chameleon