音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Ommy Dimpoz
Ommy Dimpoz
演出者
詞曲
Omary Faraji Nyembo
Omary Faraji Nyembo
作曲
製作與工程團隊
Mr. LG
Mr. LG
製作人

歌詞

[Intro]
Ohh lelele
Oh lele lee
Ooh lala
Eh lelele lee le
Oh lelee
Oh lelee le
Oh lala
[Verse 1]
Uzuri wako Masha Allah, u mzuri
Unavutia, unapendeza
Unavyonipa mpaka raha, u mjuzi
Juice ya miwa, ndimu nakamuliwa
[Verse 2]
Penzi pupwe na barizi
Nimefit we ndo size
Cheko na tabasamu
Ndayni napewa
[Verse 3]
Natafuta mashahidi
Vyahalali nifaidi
Visiwe vya haramu
Akachukuliwa
[Chorus]
Umeniweza hayaa
Umeniweza wee hayaa
Umeniweza wee hayaa
Umeniweza wee hayaa
[Verse 4]
Tunaendana nyota mi nawe
Huna baya Kama mtoto mchanga
Yangu pumzi nikupe wewe eeh
[Verse 5]
Nongwa kwetu ni sumu
Huba liko salama
Liko swaalamaa ah
[Verse 6]
Penzi pupwe na barizi
Nimefit we ndo size
Cheko na tabasamu
Ndayni napewa
Natafuta mashahidi
Vyahalali nifaidi
Visiwe vya haramu
Akachukuliwa
[Chorus]
Umeniweza hayaa
Umeniweza wee hayaa
Umeniweza wee hayaa
Umeniweza wee hayaa
Written by: Omary Faraji Nyembo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...