album cover
Vimba
album cover
Vimba 由 SAMA MUSIC 於 2022年5月20日發行,收錄於專輯《Cinema》中
專輯Cinema
2022年5月20日
標籤SAMA MUSIC
BPM
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快

音樂影片

音樂影片

歌詞

Usiku hulali unaumia tena unawaza
Kukicha maswali na stress umejaza
Inaniumiza kukuona unaumia wewe baba
Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa mimi ni star ndo unahofia labda nitakimbia
Nimeridhika mimi
Aah aah
Na hali yako hiyo
Aah aah
Nataka uvimbe baby
Aah aah
Mi ni wako pekee
Aah aah
Vimba, vimba, vimba
Kama unanipenda
Vimba, vimba, vimba
Amini unapendwa
Vimba, vimba, vimba
(Watu waoneshe)
Vimba, vimba, vimba
Aah aah
Tambua kipaji kanipa Maulana, ni karama
Unaponyong'onyea unaniumiza sana, ooh bwana
Tena unatetemeka
Tetee
Ukiniona unasita, kijasho kinakutoka (Mmh)
Tetee
Wanipa raha, si masikhara, dhahiri nasema
Twende kwa baba Mzee Sama
Tumalize biashara
Najua unanipenda
Ila unawaza labda nitakimbia
Kisa mimi ni star ndo unahofia labda nitakimbia (Yee yeiye eeh)
Nimeridhika mimi
Aah aah
Na hali yako hiyo
Aah aah
Nataka uvimbe baby
Aah aah
Mi ni wako pekee
Aah aah
Vimba, vimba, vimba
Kama unanipenda
Vimba, vimba, vimba
Amini unapendwa
Vimba, vimba, vimba
Watu waoneshe
Vimba, vimba, vimba
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...