Rehema Simfukwe 熱門歌曲
積分
演出藝人
Rehema Simfukwe
演出者
詞曲
Rehema Simfukwe
詞曲創作
歌詞
Nina Kiu nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Nina njaa nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Nina Kiu nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Nina njaa na wewe
Sina mwingine Sina mwingine (ooh)
Nina Kiu nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Nina njaa nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji Bwana
Linisafishe (eeh)
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji
Liniinue
(Nina Kiu nawe)Nina Kiu nawe
Sina mwingine
(Sina mwingine)Sina mwingine
(Nina njaa)Nina njaa nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji
Linisafishe (ooh)
Tone la damu yako Yesu ninalihitaji
Liniinue
(Nina Kiu nawe)Nina Kiu nawe
Sina mwingine
(Sina mwingine)Sina mwingine
(Nina njaa ndani yangu)Nina njaa nawe
Sina mwingine Sina mwingine
Bwana Nijaze (Nijaze)
(Tunaliamini jina lako tunaliamini uweza wako bwana)
Bwana Nijaze (Nijaze)
(Na nguvu zako bwana)Na nguvu zako
Bwana Nijaze (Nijaze)
(Tunaamini uweza wako)Nijaze
(Tunaamini ukuu wako)Nijaze
(Fadhili zako bwana)Nijaze
(Uwezo wako bwana)Nijaze
(Heei)Na nguvu zako
Bwana Nijaze (Nijaze)
(Nijaze) Nijaze
(Nijaze) Nijaze
(Nijaze) Nijaze
(Nijaze) Nijaze
(Ooh) Nijaze
(Uuh) na nguvu zako
Nina Kiu nawe Sina mwingine Sina mwingine
Yeei
Lyrics powered by www.musixmatch.com