album cover
Samehe
album cover
Samehe 由 Still Alive Productions/TML 於 2021年8月13日發行,收錄於專輯《Kampeni》中
專輯Kampeni
2021年8月13日
標籤Still Alive Productions/TML
BPM88
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快

歌詞

[Verse 1]
Umekaa mwenyewe, unawaza na kuwazua aaah
Mwili ukonde, mwenzako anatanua aah
Ona unyonge imani imepotea eeh
Bora usonge mana muda unapotea eeh
[Verse 2]
Wewe si wa kwanza aliyekutenda eeh
Vile uko na uzima shukuru muumba eeh
Na mwingine si alisema ukimsaidia ana moyo
Mbona ni mapema, kabadilikia machoni pako
[Verse 3]
Ulijua tenda wema, tenda wema nenda, nenda
Umejua tenda tema, tenda tema yatosha
[PreChorus]
Wakiona wakuache (Sawa, sawa)
Wakiona wakucheke (Sawa, sawa)
Wakiona wakuwache (Sawa sawa)
Wakiona wakucheke (Sawa, sawa)
[Chorus]
Zile thawabu kwa Mungu usikose achilia Bwana
Zisamehe, samehee
Ashasamehee, samehee
Basi samehee, samehee
Tena samehee, samehee
[Verse 4]
Wabaya ni watu, shetani anasingiziwa sana
Ndani ya mtu anachagua kuamua mwenyewe
Wabaya wapo, wapo, tena wanasikia raha
Hukumu ipo, ipo shetani na yake kivyao
[Verse 5]
Mwingine si alisema ukimsaidia ana moyo
Mbona ni mapema, kabadilikia machoni pako
Ulijua tenda wema, tenda wema, nenda, nenda
Umejua tenda wema, tenda wema, nenda, yatosha
[PreChorus]
Wakiona wakuache (Sawa, sawa)
Wakiona wakucheke (Sawa, sawa)
Wakiona wakuwache (Sawa sawa)
Wakiona wakucheke (Sawa, sawa)
[Chorus]
Zile thawabu kwa Mungu usikose achilia Bwana
Zisamehe, samehee
Ashasamehee, samehee
Basi samehee, samehee
Tena samehee, samehee
Written by: Goodluck Gozbert, Timothy Boikwa
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...