音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Kayumba
Kayumba
演出者
詞曲
Ismail Juma Mandoti
Ismail Juma Mandoti
詞曲創作
Emmanuel Mhina Sewando
Emmanuel Mhina Sewando
詞曲創作
製作與工程團隊
Maneck
Maneck
製作人
Independent artist
Independent artist
製作人
TML
TML
製作人

歌詞

(?)
(A, A, A, 'A-M Records)
Yeah, yeah
Baby Coco (Coconut)
Huba limeshakolea, kolea
Penzi si sigara kugongea, gongea
Haya mapepo, 'kemea, kemea
Coco
Kudeka, deka 'kunanipa hamu
(? fit namaliza yote ?)
Coco
Koni ya kopo nailamba, 'um
Coco akitaka pipi
Namtolea na maganda, 'tamu
One day 'mi naye ndoa ye mama mi baba
One day 'mi naye ndoa ye mama mi baba
Ukiniachia nitapwaya (Coco)
Moyo umesha-desire (Coco)
Umenishika pabaya (Coco)
Nibatize niimbe kwaya (Coco)
Eh
Penzi lako fire (Coco)
Umenishika pabaya (Coco)
Moyo umesha-desire (Coco)
Nibatize niimbe kwaya (Coco, eh)
One day 'mi naye ndoa ye mama mi baba
One day 'mi naye ndoa ye mama mi baba
Moyo ukipendaga huna kificho (Kificho)
Nguvu ya penzi hubadili maandiko (Maandiko)
Nibembeleze Coco kwa maneno ya mashiko
Ah
Ulipo shika hapo hapo ndipo
Nipe hata kama ukiwa na moja kanga (Enhee)
Nipe tena uone nilivyo jipanga (Oh, yeah)
Nipe vita ya chini, nikupe ya anga
Kwenye kibanda changu ama nyumba ya kupanga
Si dhambi, oh
Kukupenda Coco (Oh, eh, eh)
Kukupenda Coco
Mwenzio nalala na yako photo (Ooh)
Upande kulia, kushoto
One day 'mi naye ndoa ye mama mi baba
One day 'mi naye ndoa ye mama mi baba
Ukiniachia nitapwaya (Coco)
Nitapwaya
Moyo umesha-desire (Coco)
Desire
Umenishika pabaya (Coco)
Umenishika pabaya
Nibatize niimbe kwaya (Coco)
Umenishika pabaya
Eh
Penzi lako fire (Coco)
Oh, mbaya, mbaya, oh
Umenishika pabaya (Coco)
Oh, mbaya, mbaya
Moyo umesha-desire (Coco)
Oh, wewe
Nibatize niimbe kwaya (Coco, eh)
Ay, yay, yay, ay, yay
Ay, yo
Ayo
(Coco, Coco)
Manecky, eh
Ayo
Ay, yo
Umenishika pabaya (Coco)
Ay, yay, ay
(Coco, Coco)
Coco
Coco
Shika pabaya (Coco)
Eh
(Coco)
Yo, yo, yo, yo, hey (Coco)
Oh, oh, oh (Coco)
(Oh, Coco)
Umenishika, she-she, eh
Umenishi-shi, sheke, eh
Umenishika, she-she
Coco, eh, Coco yeah
Written by: Emmanuel Mhina Sewando, Ismail Juma Mandoti
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...