積分

演出藝人
Brenda
Brenda
聲樂
Esir
Esir
演出者
詞曲
Issah MMari
Issah MMari
詞曲創作
製作與工程團隊
Ogopa Djs
Ogopa Djs
製作人
Ogopa DJ's
Ogopa DJ's
製作人

歌詞

Jasho yatiririka (moyo wapiga)
Kila mtu (anawika)
Hajui vile ya kusema (mahewa tunapewa)
Yatiririka (moyo wapiga)
Kila mtu (anawika)
Hajui vile ya kusema (mahewa tunapewa)
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Nani mwingine mwamjua Kenya nzima kama mimi
Mwenye kushika mic na kuwapa Kiswahili?
Sure, rhymes zikitua
Rhymes zapasua vifua (fafanua)
Na safari hii, ma MC, nawaombea dua
Nikiwa hit kwa industry, niki manoeuvre
Kama mvua nanyesha, mahewa nikileta
Wako wengi lakini it's obvious, I'm better
It's hot in here, hot in here
E-Sir ameshika mic, karibia
Brother kamata, sister kata
Kiuno kwa mdundo na huu ndio mtindo
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
And thanks to Ogopa's guidance, there's no defiance
Navuta more crowds than Rainbow Alliance
So wakiuliza, sema ni E-Sir
Ameshika na kuturoga kabisa
Ni mahewa (mahewa)
Mahewa tunapewa (uh-huh)
Za kukatika na hizi ngoma
Basi (basi)
Twazicheza na mpango (mm-hmm)
Twazicheza mpaka jasho
Jasho yatiririka (moyo wapiga)
Kila mtu (anawika)
Hajui vile ya kusema (mahewa tunapewa)
Yatiririka (moyo wapiga)
Kila mtu (anawika)
Hajui vile ya kusema (mahewa tunapewa)
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Moss, moss, moss, moss
Pole-pole (moss, moss)
Twazienda (moss, moss)
Haraka-haraka haina baraka
Haraka-haraka haina baraka
Written by: Issah MMari
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...