歌詞

Mmmmmm Kila kwenye ndoto zangu Naotaga kuwa na wewe Hata nikisema naugua Dawa nahisigi ni wewe Unaishi mawazoni mwangu Furaha ya Mi ni wewe Hata nikisema naugua Dawa nahisi ni wewe Nasio kwamba siwezi kupata mwingine Ila moyo Sio kwamba sipati kutakiwa aaaaaah, mi amor Sio kwamba siwezi kupata mwingine eeeeeh Sio kwamba sipati kutakiwa aaaaaah Wala sio zoba Nazi koroma Kinachomatter ni upendo upendo "koroma" Mi Sina uzoba Kama koroma Kinachomatter ni upendo upendo na nakupenda aaaaah I'm in love with you I'm in love with my love I'm in love with you I'm in love with my love nakuaminiiii I'm in love with you I'm in love with my love I'm in love, I'm in love Navuta picha labda si tukitengana Na nilivyopenda ivi uhisi itapoa Siipati picha ile siku ya kuoana, natusipotenda ivi udhani itapoa Mapenzi matamu tupendane Wabaya washindwe kushauri Uwe wangu milele tufanane, mi kwako ndo Sina ata kauli Wala sio Nazi koroma, kinachomatter ni upendo upendo koroma Mi Sina uzoba Kama koroma Kinachomatter ni upendo upendo na nakupenda aaaaah I'm in love with you I'm in love with love I'm in love with you I'm in love with love I'm in love with love(nakupenda baby)eeeeeh
Writer(s): Saraphina Kitinga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out