歌詞

Everbody waoh! Nasema mi mwenye nimetokea gheto Wanangu wa gheto mnakuwa je? Ukonga segerea mpaka keko masela wa jela mmelalaje? Watu tunafunga mitaa jiji kimyaa Waambie nimesema mtu mzima Vunja madharau jenga heshima Mbwa ni mbwa hata umpe jina Kazi yangu kuzima moto moto Kuwa wewe kibatari. Studio gongo la mboto kiwalani Nishatembea jua kali (hustle) Ukiongelea msoto kwenye msoto mi nna sifa kama za Dully Nilimuahidi mama nikiwa mtoto nikikuwa ataishi vizuri. Siwezi kuact kama staa nakataa (nakataa) Siwezi kufake nikuonyeshe nakufaa (nakufa) Siwezi kushiba kama wanangu wananjaa Mister I don't give a what Kama vile nakichaa. Heya heya heyaaa Nalilunch maujiza watu hao Tola maganza tola maganza If you thank God for the life tola maganza tola maganza Wa 2000 wa kweli tola maganza Oohh! bora nizunye tola maganza Karibuni wote jimwageni wote Waliondani naa Na walionje wote Haya maji kama ya mvua yananyesha kote Mlipo toka Mnapajua msibani msibanane sote Kutoka gheto mpaka nyumbani Mambo mbeto mseto wachawi kunani Na mister T-touch chombo kipo angani Nasukuma husukani waburudani kwenye fani Hapa shwari hatuna habari na majuu Hakuna worry Darassa na mister Bluee Nakumbukumbu anazo mpiga picha Mliolewa mtasema yaliojificha Niete rap music king wa rap teacher Kwenye maujuzi tangu juzi nakuficha Nipo hapa kama rapa wa kisasa Nipo na Darasa niite bapa kwenye anasa Heya heya heyaa! (Nilikuambia eeh) Heya heya heyaa!
Writer(s): Ramadhani Thabit Shariff, Thabit Janati Mango, Henry Sameery Rajab Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out