歌詞

Eeeeeh Ooooh Ooooh oooh Ninajua Bwana Atatenda aah Kwa wakati wake Atafanya aah Nikipata aah Nikikosa aah Haibadilishi Maana hata kuishi kwangu Ni yeye Haibadilishi Haibadilishi Haibadilishi Kua wewe Ni Mungu Oooh ooh Neno moja nimelitaka Kwako wewe Bwana Nalo ndilo nitakalo litafuta aah Nikae nyumbani Mwako ooh Siku zote za uhai wangu Niutazame uzuri Wako Bwana Na kutafakari Hekaluni mwako Siku zote Za uhai wangu Siku zote Uliposema nitafuteni Uso wangu Moyo wangu umekuambia Nitakutafuta Uso wako Uso wako Usijiepushe Nami wako Usinitupe Baba Wala usiniache Umekua msaada wangu Na wokovu wangu Maana wakungonjeao Huwa hodari Nipe nguvu Nipe nguvu Nikungoje Wewe Bwana Wewe haubadiliki heeeyh (Bwana) Unadumu milele Bwana aayh (Bwana) Haubadiliki eeehyeey (Bwana) Unadumu milele Bwanaa (Bwana) Haufananishwi (Bwana) Unadumu unadumu uuuh (Bwana) Haubadiliki heeyh (Bwana) Unadumu uuh (Bwana) Oooh Oooh
Writer(s): Asheri Wilbard Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out