Watu Fresh 熱門歌曲
類似的歌曲
積分
演出藝人
Watu Fresh
演出者
詞曲
Mr Kesho
詞曲創作
Kato Kumbi
作曲
Fasy Masauti
作詞
Thomas Maxmillion
詞曲創作
歌詞
Ondo ndo ndo ndo ndo
Ondo ndo ndo ndo ndo
Mmmh mmmh
Kwani shingapi
Natafuta mkombozi
Niwe busy na baby
Penzi liwe moto moto
Nasimwachi ooh
Hata ashinde kwakigodoro
Tupige mapicha
Tutambe kila chocho
Siondoki pekeangu
Nataka vitamu
Nkuipige kishandu
Kama cristiano
Aaaaah Utang'ata masofa masofa masofa
Aaaaah Nitakupa madini sonara
Sio masihara
I like Nitakupeleka dinner ulaya
Sio kwa ubaya ooh silali mwenyewe
Awee leo ni wewe sitalala mwenyewe
Sitalala mwenyewe
Aweeee leo ni wewe sitalala mwenyewe
Sitalala mwenyewe
Awee leo ni wewe sitalala mwenyewe
Sitalala mwenyewe
Ondo ndo ndo ndo ndo
Ondo ndo ndo ndo ndo
Ondo ndo ndo ndo ndo
Ooh baby you love me I love you
Moyo mama moyo mama
Umeni kill mama na body kuondoka nawe sina budi
Your body your body your body silali mwenyewe
Awee leo ni wewe sitalala mwenyewe
Sitalala mwenyewe
Aweeee leo ni wewe sitalala mwenyewe
Sitalala mwenyewe
Awee leo ni wewe sitalala mwenyewe
Sitalala mwenyewe
Aweeee leo ni wewe
Ondo ndo ndo ndo ndo
Ondo ndo ndo ndo ndo
Ondo ndo ndo ndo ndo
Kwani shingapi
Natafuta mkombozi
Niwe busy na baby
Penzi liwe moto moto
Nasimwachi ooh
Hata ashinde kwakigodoro
Tupige mapicha
Tutambe kila chocho
Ayo ayo ayo ayo ayo ayo
Written by: Fasy Masauti, Kato Kumbi, Mr Kesho, Thomas Maxmillion