album cover
Move!
1
Hip-Hop/Rap
Move! 由 Colored Sonics, Metaphysical Poetry 於 2023年2月1日發行,收錄於專輯《Move! - Single》中
album cover
發行日期2023年2月1日
標籤Colored Sonics, Metaphysical Poetry
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快

歌詞

Niko swali ngori hukuwanga gani
Nikidai Maji, chrome inaingilia wapi
Mi mtu wa nyagi naichapa naichapa ka munchies
We uko ngwai, yule divai
Huyu anazima anazima na style
Lakini si daily
Kwa keja namedi na herb ama granola nadishi na mug
Napika mchicha, terere, managu
Lazima tujenge huu mwili mwanangu
Labda na yoga, na nice kama baby yoda
Mimi ni star, Nyama na stir ugali ianguke na dish inafry
Nashiba na vibes, na doba nagonga ka vybez na fanto kwa Ghetto ni ka niko high
Written by: Njagi Edmond Nonay
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...