積分
演出藝人
Lody Music
演出者
詞曲
Alawi Omary Alawi
詞曲創作
製作與工程團隊
Chiby
製作人
歌詞
Yaani Raha, Kumbe Kupendwa Kuna Raha..
Hadi Rahahahaa, Tena Ukipendwa Sanaaa..
Maumivi yako wapi Kwakweli Sisikii Sikumbuki Yaliopita Si Ndweleee...
Makasiriko Hapaanaa,
Kwakweli Nimewezwa ooh sanaaa...
Hadi Moyo Unashituka Nikikuona Napagawa
Na tena Unaeza Kuta We ndo mwisho Kupenda,
Ukiondoka Me Ntajuta, Akiliii haitokuwa Sawaa
Mashavu yatapasuka, Babe Punguza Raha....
Mimi na wewe Foreverrr/ Foreverrr Forever
Kumbuka Nakukunda Mwenzako/ Forever Forever...
Mimi na wew Forever Mieeee/
Forever Forever....
Kumbuka Nakukunda Mwenzako/ Forever Forever
Acha Me Nitoe Ya Moyoni, Penzi Lako Linanileweeshaa...
Mara Paap Tunajikuta Peponi, Pumzi Mungu Ametuwezeshaa
Hili Penzi Tam, Tena Taam zaidi ya Sugar,
Umeniweka Ndani Kwenye Moyo Umenifuga,
Babe Usije Kupotea Macmuga,
Ndani tule Ngoma Za Rema, Asake na ruger,
Yale Masimango yenye Karaha,
Hayasikiki Wote Mdomo Waziii
Ona Nyuso zetu zina Furaha
Niambieee Ooonaaaaa
hadi Moyo Unapasuka Nikikuona Napagawa,
na Tena Unaweza Kuta We Ndo Wa Mwisho Kumpenda,
Ukiondoka Me Ntajuta Akili haitokuwa Sawa,
Mashavu yatapasuka babe Punguza Raha....
Mimi na wewe Forever/ Forever Forever
Kumbuka Nakukunda Mwenzako/ Forever Forever
Mimi Na Wewe Forever Mieee/ Forever Forever
Kumbuka Nakukunda Mwenzako/ Forever Forever
Written by: Alawi Omary Alawi

