積分

演出藝人
Mic Lon
Mic Lon
演出者
詞曲
Swaleh Shillah
Swaleh Shillah
詞曲創作

歌詞

Na tukasema dark days are behind us,
Doesnt matter now,
We made through this life unscathed,
Ama,
Kama ume hate chukua namba,
Itafika kwako labda,
Let it go
Let it go
Nishachoka kuwa the strong one,
Sijui nini you gon throw at me next
Tulikubaliana basi tena
Nafsi imechoka
Machozi na makamasi tena
Wakipenda basi loudly nishachoka hema
Bado najipenda
Ila tumeishi bana tumekuwa wabishi sana
Na nguvu imepikwa wapi mpishi mama
Sasa mazishi yamepita wishing
Couldve wouldve shouldve ila Muda unazidi hama
Na nmeshachoka hizi drama
Nasema niko busy sanaa
Sijali we ni nani mchizi ama
Hizi damu laini zaidi juisi azam
Wishing kama nipotee hivi
Dont even think about huyu
Jamaa Hasira zita chora mdomo red kama ubuyu,
Jamaa ana mashetani yamezaliwa bila vibuyu,
Jamaa uliyemjua zamani ni yule, ila huyu,
Baada ya kila kitu, em achana nao
Na tukasema dark days are behind us,
Doesnt matter now,
We made through this life unscathed,
Ama,
Kama ume hate chukua namba,
Itafika kwako labda,
Let it go
Let it go
Maybe ambition zilipitiliza
Haikutosha kutoboa ndo kisa cha kutuliza
Tulizidi mishe haijalishi iwe mwanga au kiza
Sasa nn imebaki ndo swali nalojiuliza
Maana whats it all for tena,
Im on the floor tena,
Naona soo hata ku go again, im all set up,
Nikiinuka keep me on my toes ama i wont stay up,
Kitanda kinaniita nirudi kuamka ni concern yangu
But nimechoka kuendesha kwa wese la chuki
I gambled nkishinda sasa kete haziruki
Lost my youth kwa hii kitu twenties hazirudi
Plenty kazi za kufanya akili zao fupi
Na hili nalo litapita,
Sikutegemea mafuriko baada ya kuisha masika,
Mifumo imekufeli muafrika,
But here we are rusha matatizo kwenye speaker
Na tukasema dark days are behind us,
Doesnt matter now,
We made through this life unscathed,
Ama,
Kama ume hate chukua namba,
Itafika kwako labda,
Let it go
Let it go
Na tukasema dark days are behind us,
Doesnt matter now,
We made through this life unscathed,
Ama,
Kama ume hate chukua namba,
Itafika kwako labda,
Let it go
Let it go
Written by: Swaleh Shillah
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...