積分
演出藝人
Ukweli
演出者
KASHA
演出者
詞曲
Tasha Mwangi
詞曲創作
Brendern Shaheed Denousse
詞曲創作
製作與工程團隊
Brendern Shaheed Denousse
製作人
歌詞
Ujana maji ya moto na huyawezi kuyapashaa
Utatafuta maana, tena sana lakini akili haitawacha kukuwashaa
Hakuna anayejua cha kufanya, usidanganywe sote twajaribu kuyajaza haya mianyaa
Oye maisha ni dakika, leo tupo, kesho si hakika
Sema yote, piga picha, leo tupo, kesho si hakika
Dunia barafu, hatuna madau anza kuogelea
Dunia barafu, hatuna madau anza kuogelea
Vunja mifupa kama bado meno ipo, usingoje siku za mwisho
Cheza ngoma, jamani imba wimbo usiogope hata siku za mwisho
Jamani maisha ni magumu maombi na saumu, nataka tu kuelea
Oye maisha ni dakika, leo tupo, kesho si hakika
Sema yote, piga picha, leo tupo, kesho si hakika
Dunia barafu, hatuna madau, anza kuogelea
Dunia barafu, hatuna madau, anza kuogelea
Written by: Brendern Shaheed Denousse, Tasha Mwangi