積分
演出藝人
Dayna Nyange
演出者
詞曲
Mwanaisha Nyange
詞曲創作
製作與工程團隊
Mr. T Touch
製作人
Franger Mixing
製作人
歌詞
Na nepepa sipungui mmmh mmmh
Kitu ambacho hamjui Napendwa sana
Wapambe na maadui nawazidi kununa aah aaaah
Huba alipungui linazidi kunona aaah aaah
Na akinipa nachukua ayaya yaaah
Yaani nakamua ayaya yaaah
Baba utaniua ayaya yaaah
Unavyo zagamua ayaya yaaah
Mmmh mmmmh
Naye naye naaayeee
Yaani tunanvyo fanana
Naye naye naaayeee
Yaani hatuwezi kuachana
Naye naye naaayeee
Na tunavyo pendana
Mmmh mmmmmh
Na yeye
Mmmh this love you give me is so sweet
I never feel this way before
Ooh baby this love you give me is so sweet
And i wil never let you go
Tayari na nimesha muamini
Yaaani na ameshapata kiti moyoni
Na akinipa nachukua ayaya yaaah
Yaani nakamua ayaya yaaah
Baba utaniua ayaya yaaah
Unavyozagamua ayaya yaaah
Mmmh mmmmh
Chorus
Naye naye naaayeee
Yaani tunanvyo fanana
Naye naye naaayeee
Yaani hatuwezi kuachana
Naye naye naaayeee
Na tunavyo pendana
Mmmh mmmmmh
Na yeyee
Na akinipa nachukua
Baba utaniua
Written by: Mwanaisha Nyange