音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Cheed
Cheed
演出者
詞曲
Rasheed Mganga
Rasheed Mganga
詞曲創作
製作與工程團隊
Terriyo Monster
Terriyo Monster
製作人
Mocco Genius
Mocco Genius
製作人

歌詞

[Verse 1]
Nimekichagua chama, nawe ndo jimbo ooh!
Asijemiliki mpinzani, mmh yeeh
Na haki tufike kiamaa, ndege kwa ulimbo ooh
Nimenasa mtegonii, Mola amenibarikiaa!
[Verse 2]
Nimepata toto la tanga mwambani, nimetunukiwa
Sisemi ameniweka kwapani, na anavyonipatia
Utasema labda ana yangu ramani
Keshafunga njia ya mipaka ya China na Japani
[PreChorus]
Lake pendo ndani lanipa ashuo, ananipenda vibaya
Mkali kwenye tendo, kahitimu chuo mwana hanaga haya!
Na nshampa kitengo, kwa mipukuchuo, me najimwaya mwayaa
Mswaki kwenye pengo, na misukutuo mwali hanaga baya
[Chorus]
Wala (Simwachi) ye ndomwanga me tochi
Ooh, ooh
Wala sijutii, na sifurukuti
Oo, ooh!
[Verse 3]
Kibaba mama twacheza kitandanii tukipeana somo
Hili huba letu la thamani
Nalishwaga nyama ya pweza forodhanii, nyi chongeni midomo
Kwa raha zetu atuachani
[Bridge]
Kachirii iih kachiri saga! Tumependezana wawili saga!
Usiogope wanga wakitujadili iih jadilii iih
Ooh kachiri kachiri saga! Tufe na tuzikwe wawili saga!
Oohuuh nana nana
[PreChorus]
Lake pendo ndani lanipa ashuo, ananipenda vibaya
Mkali kwenye tendo, kahitimu chuo mwana hanaga haya!
Na nshampa kitengo, kwa mipukuchuo, me najimwaya-mwayaa
Mswaki kwenye pengo, na misukutuo mwali hanaga baya
[Chorus]
Wala (Simwachi) ye ndomwanga me tochi
Ooh, ooh
Wala sijutii, kwakes sifurukuti
Oo, ooh!
Written by: Rasheed Mganga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...