積分

歌詞

[Intro]
Sio leo toka zamani
Mnyama hana mpinzani
Sio leo toka zamani
Mnyama hana mpinzani
[Verse 1]
Hatushikiki ki ki ki (Ooh we)
Hatukamatiki ki ki ki (Ooh we, oh we)
Watoto wa Dar, watoto wa msimbazi (Oh we, oh we)
Ita mashabiki ki ki ki (Ooh we)
Wameanza mtiti ti ti ti (Ooh we, oh we)
Na msimu huu, kombe msimbazi
[Verse 2]
Ah we unamjua simba (Mnyama)
Sio uyo wa picha mnyama (Mnyama)
Huyo ni wa insta mnyama (Mnyama)
Uyo utopolo mnyama (Mnyama)
Mnyama (Mnyama)
Mnyama (Mnyama)
[Verse 3]
Wa vikombe vingi mnyama (Mnyama)
Anaupiga mwingi mnyama (Mnyama)
Unyama ni mwingi unyama (Mnyama)
[Verse 4]
Nasema unamjua simba (Mnyama)
Wa kimataifa mnyama (Mnyama)
Mnyama nguvu moja mnyama (Mnyama)
Anatupeperusha mnyama (Mnyama)
[Verse 5]
Mnyama (Mnyama)
Mnyama (Mnyama)
Wa vikombe vingi mnyama (Mnyama)
Wa kimataifa mnyama (Mnyama)
Anaupinga mwingi mnyama (Mnyama)
[Chorus]
Hatushikiki ki ki ki (Ooh we)
Hatukamatiki ki ki ki (Ooh we, oh we)
Watoto wa Dar, watoto wa msimbazi (Oh we, oh we)
Ita mashabiki ki ki ki (Ooh we)
Wameanza mtiti ti ti ti (Ooh we, oh we)
Na msimu huu, kombe msimbazi
[Refrain]
Sio leo toka zamani
Mnyama hana mpinzani
Sio leo toka zamani
Mnyama hana mpinzani
[Outro]
This is Simba, sisi ndio mabingwa
Sisi ndio mabingwa, Afrika nzima
This is Simba, sisi ndio mabingwa
Sisi ndio mabingwa, Afrika nzima
Eeha
Eeh
Written by: Ally Kiba, John Kimambo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...