類似的歌曲
積分
演出藝人
Ben Pol
演出者
Darassa
演出者
Benard Paul Mnyanganga
演出者
Daudi Were
演出者
詞曲
Ben Pol
詞曲創作
Darassa
詞曲創作
Daudi Were
詞曲創作
歌詞
Classic Music
Sounds vibe Habaa
Kaomba kapewa
Kaonja kalewa
Nami ndo nishamuelewa nikimkosa nakuwa kama nachelewa
Nyota mbala mwezi
Mwanamke amazing
Mbona hawakuwezi kama unakuwaga na ngekewa
Siri sio siri tena penzi hadharani
Usipomkuta kwangu sasa atakuwa kwa nani??
Siri sio siri tena mambo hadharani
Usipomkuta na mimi sasa ata tamba nani??
Aaah aaah aaah ah
Aaah aaah aaah ah
Aaah aaah aaah
Aaah aaah aaah
Show off me
Asa show off me
Kama unapendwa show off me
Kama unampenda show off me
Show off
Mapenzi yashanitesa roho
Asee a better let it go
Toka nimekutana na wewe mbona naona tunapendana
Washaniumiza sana roho
Nampenda mwanamke match know
Toka nimekuwa na wewe kama mapacha tunafanana
Mapenzi huwaga complicated
Sometimes you do wherever is taken
Watu watakwambia utasikia no sense
Mana hisia ikiendesha kichwa no break
Vipensi nimeingia vip
Navyojiachia your body on me
Unanipa a b na c d
Mwenge unachoma ki jiji
Vuka kwenye mto wa rufi ji limalima kwa shamba la bibi
Shig mik nam treat ki chi Nashuka na panda
She says be free
Siri sio siri tena penzi hadharani
Usipomkuta kwangu sasa atakuwa kwa nani??
Siri sio siri tena mambo hadharani
Usipomkuta na mimi sasa ata tamba nani??
Aaah aaah aaah ah
Aaah aaah aaah ah
Aaah aaah aaah
Aaah aaah aaah
Show off me
Asa show off me
Kama unapendwa show off me
Kama unampenda show off me
Show off
Lyrics powered by www.musixmatch.com