積分
演出藝人
Rama Dee
演出者
詞曲
RAMADHANI SHAIBU SALEHE
詞曲創作
Rama Dee
詞曲創作
歌詞
Kiiibri watu kibri, kiibri watu kibri dunia hiii
Watu Kibri ihiihii Watu Kibri iihii!
Moyo wa uchungu utapata kisirani,na safari bila mungu utaishia njiani!
Na wenye lengo la uchawi watazidishiwa na mashaka
Na ya dunia yaache kwa dunia hii elewa kilakitu na mipaka
Na ya dunia hii yaache kwa dunia hii hauwezi kuishi Kuishi tena bika fear
Jifunze mooyo wa busaral
Dunia hii alieumbiwa ni wewe heee
Kiiibri Watu Kibri,
Kiibri Watu Kibri Dunia hiii
Watu Kibri ihiihii watu Kibri iihi
Wajeuri wa maneno,wanakesha kama popo
Vichwa vyao ni mizigo
Hawana mipaka hawajuwi wanachitaka
Na ya dunia yaache kwa dunia hii
Elewa kilakitu na Mipaka yeah
Na ya dunia hii yaache kwa dumka hii
Hauwezi kuishi kuishe tena bila fear
Jifunze moyo wa busara dunia hii alieumbiwa ni wewe eeh
Kiiibri watu Kibri,
Kiibri watu Kibri dunia hiii
Watu kibri ihiihii watu Kibr
Written by: RAMADHANI SHAIBU SALEHE, Rama Dee