歌詞

Byaaaa Mwendee Byaa kama ni yangu basi ni yangu huwezi get Ntalive it kungangana ndo baraka anipee Kama ni yangu basi ni yangu huwezi get Ntalive it kungangana ndo baraka anipee Huu mwaka lazima nichachishe kwa tv radio wasee wanione wanionee Huu mwaka lazima nifanye ile kitu wasee wa gazeti wanisome wanisomee Huu mwaka lazima niongeze bidii lazima niongeze bidii yeah Huu mwaka more blessing more blessing on me more blessing more blessing on me Hey huliza jina Najua nimekuwa kathreat siwezi pinga Naishi kaa samaki Ati maji ndo maisha Nawasili kikamati Na bado siwezi bisha bisha Byaaaa nilirada mko wengi baas Na midomo zenyu zenye zimejaa macurse Alhamdulilahi niko uhai Sibishani nimetoka mbali walai Iyeee Ninisi mwimbendeea mauseo Mivango mithuku mwinayo ooohh Ndikulya niendea kwikala nichene Asa wakwa enakwa yu tene na tene Huu mwaka lazima nichachishe kwa tv radio wasee wanione wanioneee Huu mwaka lazima nifanye ile kitu wasee wa gazeti wanisome wanisomeee Huu mwaka lazima niongeze bidii lazima niongeze bidiii yeah Huu mwaka more blessing more blessing on me more blessing more blessing on me Hiii Ndo naanza na mi sina mwishoo Ntaifanya visimple ju mi sina ego Washanikubali nikiwa ivoh ivoh We kama hujui habari ndo hiyo Mahater nawashulubisha design kuu Soon mtabow down mnisifu mi mkuu Daily sala kwa magoti nikikol out mungu Niendeshe gari atleast niache kuenda miguu Ndingwa wiya Nikia tavia Ndyendete kuumangwa Kwolotwa na wiya aah Ndingwa wiya Nikia tavia Ndyendete kuumangwa Kwolotwa na ivia Huu mwaka lazima nichachishe kwa tv radio wasee wanione wanioneee Huu mwaka lazima nifanye ile kitu wasee wa gazeti wanisome wanisomeee Huu mwaka lazima niongeze bidii lazima niongeze bidiii yeah Huu mwaka more blessing more blessing on me more blessing more blessing on me Huu mwaka lazima nichachishe kwa tv radio wasee wanione Huu mwaka lazima nifanye ile kitu wasee wa gazeti wanisome Huu mwaka lazima niongeze bidiii lazima niongeze bidii yeah Huu mwaka more blessing more blessing on me more blessing more blessing on me Blaah
Writer(s): Mary Kiio Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out