音樂影片

音樂影片

積分

詞曲
Baraka George Chriss
Baraka George Chriss
詞曲創作

歌詞

[Verse 1]
Tukiyakumbuka ya kale mengi tumepitia
Tungewezaje pasipo Bwana
Tulipofunikwa na giza, sasa tunayo nuru
Tungewezaje pasipo Bwana
[Verse 2]
Msamaha twapata kwake tupe hawa msaada
Faraja na rehema, anatujalia
Hukuwa katika neema, kufikia ubora
Tutawezaje pasipo Bwana
[Chorus]
Msamaha twapata kwake tupe hawa msaada
Faraja na rehema, anatujalia
Hukuwa katika neema, kufikia ubora
Tutawezaje pasipo Bwana
[Verse 3]
Tulipopatwa na magonjwa na leo tu wazima
Tungewezaje pasipo Bwana
Tuliponenewa kushindwa, leo tunatukuzwa
Tungewezaje pasipo Bwana
[Verse 4]
Dunia ilipotupiga, tukakata tamaa
Tukasema moyoni mwisho wetu umefika
Tumaini kuwa washindi, nguvu kusonga mbele
Tutapataje pasipo Bwana
[Verse 5]
Dunia ilipotupiga, tukakata tamaa
Tukasema moyoni mwisho wetu umefika
Tumaini kuwa washindi, nguvu kusonga mbele
Tutapataje pasipo Bwana
[Verse 6]
Changamoto bado nyingi, tunahitaji msaada
Tutawezaje pasipo Bwana
Dunia inayumba tupate wapi msaada
Tutawezaje pasipo Bwana
[Verse 7]
Majaribu ni mengi, twakuhitaji sasa
Tutawezaje pasipo Bwana
Tunahitaji kufika juu mbinguni kwake Baba
Tutawezaje pasipo Bwana
Written by: Baraka George Chriss
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...