積分
演出藝人
Young Lunya
演出者
Dutchavelli
演出者
詞曲
Salmin Kasimu Maengo
作曲
歌詞
[Chorus]
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki natoka Nduki
Nduki, Nduki
Natoka Nduki hawa mapimbi hawanikuti
[Chorus]
Nduki, Nduki nawatoa nduki
Kama nikitimba na Bunduki
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki, Nduki, Nduki
[Verse 1]
Nduki, Nduki
Mans sped up on the fastest Suzuki
Two guns in the back of the whoopty
I ain't this one I ain't shooting a movie
Wanna see how I slide like toosie
Just pulled up with a Big Bandooki
[Verse 2]
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki, Nduki, Nduki
Suti, suti nimegonga suti ulinzi ni mkali hunigusi (Wuu)
Chuki chuki thamani ya mchanga wakakujazie vifusi
Juicy juicy (Juuicyy) Bei imepanda juzi juzi (Juuzi)
[Verse 3]
Ndomana tukisogea wana tuonaga nuksi nuksi
Kwetu hawaletagi mapozi wanataka tuwapige vipara of course
Mipira nataka kugonga na ngozi
Sisi ndo kiboko za mabitozi
[Verse 4]
Na ipo wazi, wazi, wazi mtu kazi kwaiyo hapa kazi, kazi
Nateka watu ka jambazi tagi, tagi naondoka na shazi, shazi
Ooh God (Ooh my Gaad)
Lawama mzigo siubebi (Beebi)
Kichwa cha moto kiko na ganzi akili inawaza mabegi (Mulaaa)
Vifua vyetu vinatembea na siri ambazo hawabebi (Daamnn!)
Ndomana wakipima moto wanapoteaga vibaya videadly
[Verse 5]
Nani kama sisi, ambao ni wanyama kama sisi
Wanaojua kuchanika kama sisi
Hata wakaribiane na sisi tumejikomba tumejipata
Cheza na code achana na cheni kuwaka
Kuchezea pesa ndo mchezo naotaka
Mwendo ni mchaka mchaka mchaka tukoo
[Chorus]
Nduki, Nduki
Nduki Nduki natoka Nduki
Nduki, Nduki
Natoka Nduki hawa mapimbi hawanikuti
[Chorus]
Nduki, Nduki nawatoa nduki
Kama nikitimba na bunduki
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki, Nduki, Nduki
[Verse 6]
Nduki, Nduki
Mans sped up on the fastest Suzuki
Two guns in the back of the whoopty
I ain't this one I ain't shooting a movie
Wanna see how I slide like toosie
Just pulled up with a Big Bandooki
[Chorus]
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki, Nduki, Nduki
I done took a left turn on opp block
Not leaving till this road get locked off
Free man hopped outta 4 door whips (Screeww)
[Verse 7]
And all the neighbors heard was gunshots (Pupuu)
No love for paigan, you fuck with my paigan
I'm tryna put you in a wood box
Can't take off this mask like future
S road bop though he’s block with my hood on
You got shot and you told thats fucked up
Big 440 on the door like what's up
[Verse 8]
G19 leave a holy a jumper
Now let that shit burn like usher
Your boyfriend, ain'ton piss he's a sucker
Dem boy don’t want no wahala
I stay on my grind crasher
Got that if you need it holla
[Verse 9]
It's Gucci, Gucci do I look like I'm left off bad and boujee (Huuhh!)
Better duck when I aim this Uzi
I spray this one u get smoke like pooki (Rrrii)
Real life’s a movie I still got beef I ain't tryna squash shit like Smoovy
They told you that I'm to unruly
Wanna see how I slide like toosie
[Chorus]
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki natoka Nduki
Nduki, Nduki
Natoka Nduki hawa mapimbi hawanikuti
[Chorus]
Nduki Nduki nawatoa nduki
Kama nikitimba na Bunduki
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki, Nduki, Nduki
[Chorus]
Nduki, Nduki
Mans sped up on the fastest Suzuki
Two guns in the back of the whoopty
I ain't this one I ain't shooting a movie
Wanna see how I slide like toosie
Just pulled up with a Big Bandooki
[Outro]
Nduki, Nduki
Nduki, Nduki, Nduki, Nduki
Written by: Salmin Kasimu Maengo

