音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
PARADIZE
PARADIZE
演出者
詞曲
Paradize Tabasamu
Paradize Tabasamu
作曲

歌詞

Naiwaza hela ndo maana
Naipenda pesa ndo maana
Sichoki mi kupambana
Japo na wanga wanabana
Aah! Wewe nimetokea maisha nayajuwa mwenyewe
Aah! Wewe nimepitia magumu nayajuwa mwenyewe
Sisi hapa nimarafiki
Tunapendana kwenye raha nadhiki x2
Miuwaga nashukuru nashukuru
Ata kwakidogo tu minashukuru
Nashukuru nashukuru ata kwakidogo mimi nashukuru
(Ameen…… amina)x8
Tumekutana mjini usinibabaishe
Mwenzangu na mimi
Kikubwa tuangaike x2
Assalleykhum mama
Aslleykhum maana
Yanu tusale
Atalee ataletaaa x 8
Tusale
Written by: Paradize Tabasamu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...