歌詞
[Verse 1]
Taharuki ndani kumefifia
Mizozo balaa aibu kulia
Sio kawaida tumesikia
Nahodha wa meli eti kukaa nyuma
[Verse 2]
Ooh husda imemnyimaa
Ooh barafu kwenye mtima
Ooh hasikilizwi kauli
Ooh naye ni mtu mzima
[PreChorus]
Kwani yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chombo kinazama
[PreChorus]
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chakwenda mrama
[Chorus]
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chombo kinazama
[Chorus]
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chakwenda mrama
[Verse 3]
Na siri za ndani kuhadithia
Shoga katamani jamvi kakalia
Udugu amani tulifikia
Hisia chomboni mwishowe twazamia
[Verse 4]
Ooh kabla ya kupenda pima
Ooh wapenda kwa akili nzima
Ooh usiwe mchimba kisima
Ooh ukatumbukia mazima
[PreChorus]
Kwani yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chombo kinazama
[PreChorus]
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chakwenda mrama
[Chorus]
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chombo kinazama
[Chorus]
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Yuu wapi nahodha
Chakwenda mrama
Written by: Sharif Saidi Juma


