積分

演出藝人
Lomodo
Lomodo
演出者
詞曲
Liberatus Zeno Yeronimo
Liberatus Zeno Yeronimo
詞曲創作

歌詞

Iyeee!! Mmmh mhh eeee iyeee iyeee!!!
Eh! You ray enough sitaki kwingine
Penzi limekuwa dawa sitaki mwingine
Yeah! We are both of love
Mimi na wewe tuungane
Nusu kwa nusu tunakuwa sawa
Tusiongeze wengine
Fika pika tupakuwe
Ujinga niliacha toka shule
You my gift in my life
Babe stay with me at home
Maana moja haikai mbili haikai
Am weak becaouse of you
Kwanza uko simple unalipa
Nachotaka kwako unanipa
Mwanzo wa safari mpaka tunafika
Hatuchelewi chelewi
Chorus
Olala olala
Olala olala
Olala olala
Olala olala
Verse
Wewe kwangu waajabu
Kama fimbo ya nabii mussa
Na nitaipata tabu
Ukiondoka ukisusa aah!
Nilikuwa mjanja leo mshamba
Nimenaswa na penzi lako
Aah! Tena kamanda nalivua gwanda
Nasalenda na baki kwako
Yani naenjoy naenjoy
Kwako sichomoi sichomoi
Kwanza uko simple unalipa
Nachotaka kwako unanipa
Mwanzo wa safari mpaka tunafika
Hatuchelewi chelewi
Chorus
Olala olala
Olala olala
Olala olala
Olala olala
Written by: Liberatus Zeno Yeronimo
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...