album cover
Tulizana
5,011
Music
Tulizana 由 CBO Music 於 2024年10月18日發行,收錄於專輯《 》中RUMBA VOL.1
album cover
發行日期2024年10月18日
標籤CBO Music
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快
BPM99

音樂影片

音樂影片

積分

演出藝人
Christian Bella
Christian Bella
演出者
詞曲
Christian Bella
Christian Bella
詞曲創作

歌詞

Namaneno kidogo nataka nikwambie
Nataka unisikie
Nataka unielewe eehh
Pendo langu kwako ni ya milele
Nataka unisikie
Nataka unielewe Mamaa
Walisema tutaachana
Walisema
Walisema utaondoka
Walisema
Katika wote hapa duniani
Hauna mpinzani ni nani
Kama chakula kipo siniani
Nilishe waone jirani
Basi ringa kidogo Juliana
Piga mapozi kidogo juliana
Leo nataka wakujue juliana
Juliana
Navio kuthamini baby
Tusije kuachana
Baki na Mimi kipenzi
Juliana
Navio kuamini baby
Tumesharidhiana
Hatuachani baby
Tulizana Tulizana
Tulizana Tulizana
Tulizana Tulizana
Tulizana Tulizana
Tatizo Moyo ushakupenda mimi sisiki ( sisiki )
Nimekua kibogoyo atakutafuna mi siwezi
Aah yangu roho ishakopenda kwako sitoki
Aan yebaka oza ya nga ye
Ata balobi oza se ya nga ye
Yo nde okanga motema nangai
Cherie na nga ye
Bayebiteke bolingo ya ngai nayo
Eza ya nzambe
Juliana
Navio ku thamani baby
Tusije kuachana
Baki na mimi kipenzi
Juliana
Navio kuamini baby
Tumesha ridhianaa
Hatuachani baby
Tulizana Tulizana
Tulizana Tulizana
Tulizana Tulizana
Tulizana Tulizana
Written by: Christian Bella
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...