積分

演出藝人
Christian Bella
Christian Bella
演出者
Malaika Band
Malaika Band
演出者
詞曲
Christian Bella
Christian Bella
詞曲創作

歌詞

Habari za masiku mpenzi wangu
Najua uko salama
Nikisikia sauti yako baby
Inanituliza mawazo
Nitakusubiri mpaka utakapo rudi
Kwingine siwezi Kwenda
Bebe nanga wo bebe
Cherie nanga wouwo cherie
Future mama ya bana
Mwasi nanga motema
Tulizo la moyo wangu umekwenda mbali
Kila sıku mi nakumiss
Basi fanya haraka urudi bila wewe
Sitaweza tulizo la moyo wangu
Ukirudi nakupeleka nyumbani kwa baba na mama
Nandugu zangu wakujue
Tufunge ndoa uwe sasa mke wangu halali
Tujenge yetu familia
Uko uliko baby nakuomba utunze tunda langu
Ogopa matapeli
Aan bebe nanga woo bebe
Cherie nanga woo cherie
Sioni zawadi yakukupatia
Nakupa moyo wangu mpenzi uchukue
Mimi sitaki uwe wa kila mtu
Mimi nataka uwe wa pekeangu
Nilizunguka pande zote za dunia
Macho nikiangaza kumsaka mrembo
Nikakuchagua wewe we
Mama we ni wangu
Hakuna kama wewe mama
Wewe ni wangu wa kufa na kuzikana
Ata waseme kwa wengine Sito weza
Ata waseme vipi minakupanda cherie eva yeyeye
Jiwe langu laupendo nimerusha kwako
Tafadhali usiliache lipotee
Ukaenda mbali na macho yangu
Aziza kimisi ooh bebe
Mois muzaliwa ooh yaya
 
Mwanamke anastahili sifa
Kupetipeti na mahaba
Ata waseme na wachongo yote sawa
Na Penzi letu limenoga staki chawa
Chawa eeh chawa
Sioni zawadi ya kukupatia
Nakupa moyo wangu mpenzi uchukue
Mimi sitaki uwe wa kila mtu
Mimi nataka uwe wapekeangu
Nilizunguka pande zote za dunia
Macho nikiangaza kumsaka mrembo
Nikakuchagua wewe we
Mama weni wangu
Hakuna kama wewe mama
Mama yeyeyeye
Cherie yeyeye
Mpenzi wewewe
Baby wangu fanya haraka urudi
Nakuombea kwa mwenyezi
Akulinde urudi salama
Mpenzi wangu ooh bebe
Albert kapala ooh yaya
Written by: Christian Bella
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...