歌詞
I wake up in the morning
Na text yako sioni
Najiuliza kwa nini
Wakati tumeongea jana kwani leo kuna nini
Narudia text
Sioni kosa langu limekupa stress
Haunipi wepesi
Haya yote unafanya unanitest
Napiga simu yako na haupokei
I don't know how you feeling baby are you ok?
You've got me feeling so crazy
Nieleweshe
Unataka nini babe?
Unangoja nini babe?
Uko wapi darling?
Mbona Sielewi
Unataka nini babe
Unangoja nini babe
Uko wapi darling
Mbona sielewi
Observe it
Written by: Bohari Juma Mghua