積分

演出藝人
Watendawili
Watendawili
演出者
Shad Mziki
Shad Mziki
演出者
詞曲
Edgar Israel Onyach
Edgar Israel Onyach
詞曲創作
Ywaya Eugine Simon
Ywaya Eugine Simon
詞曲創作
Shadrack Mulila Mutungi
Shadrack Mulila Mutungi
詞曲創作
製作與工程團隊
Wuod Omollo
Wuod Omollo
製作人

歌詞

Penzi weh skuma gari twende
ni eleze
Sitaki tunyeshewe
Kama umechoka
Ungesema
Usife moyo
Ni mapema
Niambie
Mbona hutaki tena ?
We ndio ulisema ni milele
Hakuna kitu itatu tenga
Penzi weh usinigeuzie
Moyo wangu si mashini
Ukiniwacha ntaumia…
Penzi weh usinigeuzie ubwage moyo wangu chini
Ukini wacha ntaumia
Hii safari Hii safari ehh Hii safari ya wawili ehh

Kare ka nwa chako wuothni to nwa chako kanyakla
Ango mo Miyo niweya niweya Malit
Abera apenjiga apenjigaaa…
Written by: Edgar Israel Onyach, Shadrack Mulila Mutungi, Ywaya Eugine Simon
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...