積分

演出藝人
Angela Chibalonza
Angela Chibalonza
演出者
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
演出者
詞曲
Angela Chibalonza Muliri
Angela Chibalonza Muliri
詞曲創作

歌詞

Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Nililiita jina la Yesu nikapata uzima,
kanitoa matesoni akaniokoa,
na sasa naimba kwa utukufu wake,
Roho wake amenijaza sasa niko Huru,
Hu-u-u-ru!
Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Nilipokua katika shida, sikuona rafiki,
Magonjwa na shida yakanisumbua,
masoma ya watoto nikashindwa kulipa,
Hata pesa za nyumba nikashindwa kulipa, Marafiki kanikimbia sababu ya shida,
Nilipo ita jina la Yesu nikapata msaada, Nilisongea akanipa, sasa nafurahi,
furahi-i-I katika Bwana Yesu
Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi! Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi,
(ou ou ou)
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Sasa nafurahia, kuishi pamoja naye,
tangu nilipo okoka maisha imebadilika,
Na safari yangu, naelekea mbingu-u-uni
Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi! Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi, Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Nililiita jina la Yesu nikapata uzima,
kanitoa matesoni akaniokoa,
na sasa naimba kwa utukufu wake,
Roho wake amenijaza sasa niko huru,
Hu-u-u-ru!
Jina la Yesu limeniponya maisha,
Jina la Yesu, limenisamehe dhambi,
Jina la Yesu limenitoa katika mikono ya ibilisi!
Written by: Angela Chibalonza, Angela Chibalonza Muliri
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...