積分
演出藝人
Big Fizzo
聲樂
詞曲
D-Rop
詞曲創作
Mugani Désiré
詞曲創作
製作與工程團隊
ENOS THE AMAZING
製作人
歌詞
Ooh oh oh oh
Unanipa bure, so fine
Hadi natamani kujuwa kakufunza nini, woman
Mwanafunzi shule, mitihani
Maradhi nimeuguwa, zile njonjo zako na utani
Acha waseme umeniroga (Roga)
Sijali wanayobwaga (Bwaga)
Eeh baby you\'re my woman oh ,
Kama ugali na mboga Yako tamu imenoga Eeh eeh
Moyoni futa mimi na wewe kuachana
Let me be your Superman, let me be your Superman
Na ikija vita, niko tayari kupambana
Let me be your Superman, let me be your Superman ooh oooh
Juu yako nafurahi
Juu yako najidai , my woman my woman
Kama mapenzi ya kweli ni furaha , kujali
Just follow me , follow me
Waliokutesa na kukufanya usilali
Ni wao sio mi ,We ni follow mi
Follow, follow me
Umeishafika, tulia
Puuza wakikwambia
Kinachofata ni ndoa
Na na na na na na
Utamu umeishakolea
Na mama nishamwambia
Kwako nimejifia
Moyoni futa mimi na wewe kuachana
Let me be your Superman, let me be your Superman
Na ikija vita, niko tayari kupambana
Let me be your Superman, let me be your Superman ooh oooh
Juu yako nafurahi
Juu yako najidai, my woman, my woman
Written by: Big Fizzo