album cover
Amani
43
Afro-Beat
Amani 由 Edda Africa 於 2024年12月4日發行,收錄於專輯《Amani - Single》中
album cover
發行日期2024年12月4日
標籤Edda Africa
語言English
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快
BPM

積分

演出藝人
Edda Africa
Edda Africa
演出者
詞曲
Philibert Gilioma
Philibert Gilioma
詞曲創作
製作與工程團隊
Cpady
Cpady
製作人

歌詞

Kiangazi masika letu penzi halitokwisha
Kununa kususa hizo levels tulishavuka
Sio nusu lita full tank tuliweka
Walotupiga picha waambie nega tunasafisha
Si mwezini tu mpaka ndani ya jua
Penzi si la vipimo wala kununua
Sikati vitunguu bakuli lilia
Ni ndani ya theluji moto natulia
Namuachaje
Namuachaje sasa
Namuachaje
Namuachaje sasa
Namuachaje
Namuachaje sasa
Namuachaje
Namuachaje sasa
Ananijaza hofu naumia nisipomuona
Ananiweka roho juu
Yaani kwake napata amani na salama
Sihitaji lawama ukija kujichanganya
Nishamuweka alama wa kufa kuzikana
Usijejichanganya utanipa lawama
Si mwezini tu mpaka ndani ya jua
Penzi si la vipimo wala kununua
Sikati vitunguu bakuli Lilia
Mi ndani ya theluji moto natulia
Namuachaje
Namuachaje sasa
Namuachaje
Namuachaje sasa
Namuachaje
Namuachaje sasa
Namuachaje
Namuachaje sasa
Written by: Philibert Gilioma
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...