積分

演出藝人
Prince brayban
Prince brayban
七弦吉他
詞曲
Prince brayban
Prince brayban
詞曲創作

歌詞

Mama nimekukumbuka sana mama…
Huwa nakuombea usiku hata mchana…
Mama ukiniona usilie, mwanao bado sijapata
Nachotaka nikwambie, sijachoka kutafuta
Mama bora upo hai, wenzangu hawana mama
Natamani ukingali hai, nami nikutunze mwanao
Hata mama yako awe nani hakuna mama mbaya
Ama aiombe ombe mtaani ujue mama ni mama aaah
Mama Aaaaa
Mama Eeeee
Mama Iiiiiiiii
Mama Ooo
Mama Uuu
Mama Aaaa
Mama Eeee
Mama Iiiiiii
Mama Ooo
Mama Uuu
Verse 2
Mama, sikujua chakula, sikujua mudomo
Ulinilisha
Mama, sikuyajua maji, sikujua sabuni
ukaniogesha
Mama aah, sikujua lolote, sikujua shule
Ukanifundisha
Mama nakushukuru, japo sina cha kukulipa
Mama bora upo hai, wenzangu hawana mama
Natamani ukingali hai, nami nikutunze mwanao
Hata mama yako awe nani hakuna mama mbaya
Ama aiombe ombe mtaani ujue mama ni mama aaah
Mama Aaaaa
Mama Eeeee
Mama Iiiiiiiii
Mama Ooo
Mama Uuu
Mama Aaaa
Mama Eeee
Mama Iiiiiii
Mama Ooo
Mama Uuu
Written by: Prince brayban
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...