album cover
Try
504
Rap
Try 由 4TH YARD RECORDS 於 2025年1月10日發行,收錄於專輯《 》中TAIGWA GOMA
album cover
發行日期2025年1月10日
標籤4TH YARD RECORDS
旋律
原聲音質
Valence
節奏感
輕快
BPM103

積分

演出藝人
4Mr Frank White
4Mr Frank White
演出者
Patrick Kanyingi
Patrick Kanyingi
饒舌
詞曲
Patrick Kanyingi
Patrick Kanyingi
詞曲創作
製作與工程團隊
8key
8key
製作人
Ugyn
Ugyn
製作人
Lemario
Lemario
母帶工程師

歌詞

Mmmh
Back again back again
K k you know
Ahuh
Listen
K
Me natry me natry
Me natry me natry
Me natry me natry
Me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
Sai siko poa ndo maana nko mavitu
Daily me nagrind nko busy kila siku
So nkiwasnob mnajua sina kitu
Natry kila kitu natry kila siku
Aih
Ndo nitumange ka kitu
Sai siko poa ndo maana nko mavitu
Daily me nagrind nko busy kila siku
Natry kila kitu natry kila siku
Aaih
Me Natry kila kitu
Natry kila siku
Natry kila kitu
Aih me natry kila kitu
Me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
Siko poa ndo maana nko mavitu
Daily me nagrind nko busy kila siku
So nkiwasnob mnajua sina kitu
Aah
Chapia mathe me try
Angalau nishike ndae
Ilikua imandikwa so no body can deny
Nikicome home izo shida zote bye
Set kila kitu tunaeza fika ata dubai aaih
Bills on me kila kitu nitabuy
Me natry kitu
Juu area akuna kitu
Nikistep budangu alikua mavitu
Daily ananicall ananitisha kakitu
Ndo maana mi na chizi
Ndo maana nko mavitu
Wakini beep family affairs na
Kama sina kitu they really don't care
Na nkikosa kupick i don't wanna go there
Mathe ananishow aty daily ananiombea
So natry kila kitu
Kupush kila siku aaih
Ndo maana nko mavitu
Ndo maana nko mavitu
Me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
Sai siko poa ndo maana nko mavitu
Daily me nagrind nko busy kila siku
So nkiwasnob mnajua sina kitu
Natry kila kitu natry kila siku
Aih
Ndo nitumange ka kitu
Sai siko poa ndo maana nko mavitu
Daily me nagrind nko busy kila siku
Natry kila kitu natry kila siku
Aaih
Me Natry kila kitu
Natry kila siku
Natry kila kitu
Aih me natry kila kitu
Me natry kila kitu ndo nitumange ka kitu
Siko poa ndo maana nko mavitu
Daily me nagrind nko busy kila siku
So nkiwasnob mnajua sina kitu
Written by: Patrick Kanyingi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...