積分

演出藝人
The Mafik
The Mafik
合唱團
詞曲
The Mafik
The Mafik
作曲
製作與工程團隊
O.Righty
O.Righty
製作人

歌詞

CHORUS.
Alhamdulillah ule Mwaka tumeumaliza Salama
Alhamdulillah Huu Mwaka tumeuanza Salama.
VERSE 1. (HAMADAI)
Mimi hapa sio kwamba ni mwema sana,
Mimi sio kama sina hata dhambi.
Ila umeniachagua na mimi niione leo,
Umenichagua na mimi niuone mwaka.
BRIDGE.
Sina cha kukulipa me nakupa sifa nasema Amina,
Baraka umenijazia pipa umenipa nyadhifa nasema Amina. X2
Alhamdulillah
CHORUS.
Alhamdulillah ule Mwaka tumeumaliza Salama
Alhamdulillah Huu Mwaka tumeuanza Salama.
VERSE 2. (MICKY SINGER)
Aah nishalipa Ada na kodi sasa hivi niko bomba,
Mwaka jana nilikuwa single mwaka huu nina mchumba.
Oooh walioniumiza moyo nimeshawasamehe,
Hata wanaoniombea mabaya na wao nimewasamehe.
BRIDGE.
Sina cha kukulipa me nakupa sifa nasema Amina,
Baraka umenijazia pipa umenipa nyadhifa nasema Amina. X2
Alhamdulillah
CHORUS.
Alhamdulillah ule Mwaka tumeumaliza Salama
Alhamdulillah Huu Mwaka tumeuanza Salama.
VERSE 3. (WELLE)
Aah aah Nimefunga mwaka salama,
Ahsante baba kwa nyingi Rehema.
Haikuwa rahisi hatimaye ooya ee nimeweza,
Na nafungua mwaka kwa kunena,
Mola zidisha nyingi neema, nibariki mimi nisibaki chini Baba unaweza.
Mh Mwaka huu uwe wa baraka tele (Baba)
Unishike mkono uniongoze mbele (Baba)
Unilinde na wale wapiga ndele ee
Tumaini langu Baba lipo kwako wewe ee
Alhamdulillah.
CHORUS.
Alhamdulillah ule Mwaka tumeumaliza Salama
Alhamdulillah Huu Mwaka tumeuanza Salama.
Written by: The Mafik
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...